01.08.2022Dar es Salaam

Perfume za kupima

TZS 5 000

Description

perfume za kupima kwanzia mls 6 mpaka 100mls ...zinanukia masaa 72 oil based perfume na unanukia masaa yote. kwanzia mls 6_5000 ambayo ni kiwango Cha chini...acha harufu yako ikutambulishee bana..karibu nafanya delivery pia.ndan na nje ya dar es salaam natuma pia...Nukia na fufu

Fufubliss

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam