Description
Tunapika Chakula Aina Birian ya kuku Kila Ijumaa unaletewa mpka ulipo kwa Gharama za Mteja ..Tunapokea order kwaanzia Alhamis tunafunga order saa 3 Asubuhi Ijumaa Birian ina contain Kuku Robo wali wa mchele wa Basmat yai moja Salad pamoja na Pilipili na Pilipili ya carrot (Sambaro) Kuwahi kupata chakula chako kwa wakat Karibuni