Details
Description
Natafuta Pool guards attendant mwenye sifa zifuatazo - awe na uwezo kuogelea na kuokoa -Awe na uwezo wa kutoa mafunzo ya kuogelea -Awe na uwezo wa kujua kusafisha pool -Awe na huduma nzuri kwa wateja -Awe na uwezo wa kusimamia shughuli nzima zinazohus u pool -Awe na uwezo wa kupamgilia ratiba za usafi wa pool