Details
Description
Nafasi za kazi 100 - Sanlam Insurance Nafasi za Kazi Sanlam Insurance Tanzania. Sanlam Life Insurance Tanzania Limited, kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika utoaji wa huduma za bima za maisha (Life Insurance) inatangaza nafasi 100 za kazi za Afisa Muzo (Sales Executives) katika kitengo cha Muuzo (Sales Department) kwenye ofisi zake za mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Zanzibar na Dar es Salaam.