Details
Description
Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu. ***Sifa za muombaji*** 1. Awe na elimu ya Famasia ngazi ya cheti (Certificate Level) 2. Awe na umri usiozidi miaka 40 3. Awe mkazi wa Dar es Salaam