Details
Description
HESHIMA KWENU NDUGU ZANGU! KWA MAJINA NAITWA JAMES PATRICK MKWABI NINA MIAKA 28,NI MZALIWA WA TABORA ILA NIMEKULIA DAR ES SALAAM...NA KUPATA ELIMU YANGU YA SHULE YA MSINGI MPAKA SECONDARY....NIPO MBELE YENU KUOMBA KAZI YA UDEREVA KWA MTU AMBAE ATAHITAJI..KI UKWELI KWENYE FANI HII YA UDEREVA NINA MIAKA 10 SASA NA NIMESHAFANYA KAZI NYINGI SANA..YANI KWA UFUPI NI KWAMBA NINA UZOEFU WA KUTOSHA SANA.NIPO TAYALI KWA KAZI YA. (1)MAGARI MAKUBWA. (2)DALADALA. (3)MTU BINAFSI. (4)KIONGOZI WA SERIKALI. (5)PRIVATE BUSES. NINA CHETI KIZURI KUTOKA VETA NA LESENI CLASS C1,C2,C3,E,D,B,A1 .KWA MAWASILIANO ZAIDI MM NAISHI KUNDUCHI NA NAPATIKANA KWA NAMBA SIFURI SABA SITINI NA TISA KUMI NA TATU SIFURI TISA HAMSINI NA MOJA.