CategoriesJobsOther Jobs

15.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

AUTOMATIC GATE MOTOR

Negotiable

Description

GATE MOTOR. Epuka adha ya kushuka kwenye gari na kwenda kufungua geti hasa wakati wa mvua na usiku. Huna haja kupiga honi tena ukifika kwako, Huna haja ya mtu wa getini tena , huna haja ya kutumia tena kufuli kwenye geti lako, huna haja tena ya kuamsha mtu usiku akufungulie geti . Kwa rimoti yako tu (single touch) unayafanya yote haya . Mashine ni bora na imara kutoka south Africa . Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote kwa umbali wa mita 100 Tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama nafuu sana na huduma za uhakika Nitext whatsapp kuona utendaji wa mfumo huu

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Dar Es Salaam