Details
Description
modern design chairs zilizo na adjustable height angles zinafaa sana kwa matumizi ya watu wanaokaa ofisini kwa muda mrefu..hazichoshi mgongo na tutakuuzia kwa bei nafuu sanaaa na kukufikishia mpka ofisini kwako au nyumban na kukufungia kila kitu...viti hivi ni *brand new* vinaletwa vikiwa ndani ya box lake havijatumika popote..rangi ya kiti itaendana na pendekezo la mteja wetu..zipo rangi za kila aina