02.11.2022Arusha

KINANDA CHA MUSIC PRODUCTION

TZS 650 000

Description

Kinanda aina ya Novation Launchkey 49 MK2 kinauzwa. Kinanda hiki ni kwa ajili ya Music Production tu. Kinanda hiki bado ni kipya na hakina hata mkwaruzo. Kinanda hiki kinafanya kazi na software zote za Music Production kama vile Ableton Live, FL Studio, CueBase, Pro Tools etc. Mawasiliano: 0768444224

Michael A.

Member since 2017.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha