Description
saloon hii ipo location nzurii kabisa ya biasharaaa Changanyikenii junction ya makongo. ofisini hii bado inapiga Kazi . nikubadilishana tu mikatabaa ya Kodi nakuendeleaa kukusanyaa pesaa. Ina vioo vikubwa kabisa viwili, kabati la kioo ukutani, waiting seat, kitii cha kunyolea mashine , redio , feni mashine ya manicure na vitu vingine vingi vya saloon