06.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

BOXER BM 150

TZS 880 000

Details

Year
2006
Model
150cc
Mileage
null

Description

Boxer Bm 150 private lak 8 na 80 . . *KARIBU OFISINI KWETU UJIPATIE PIKIPIKI KWA BEI NAFUU SANAA* Tunauza Na Kununua PikiPiki Used Aina Zote kama Tvs,BOXER,Fekon, HAUJAE nk. Bei Zetu ni Rafiki Sanaa ,Kuanzia sh. LAKI 7 TU na Kuendelea UNAJIPATIA PIKIPIKI NZURII SANAA . Ofisi Zetu Zipo Mbagala zakhem Karibu na Kituo cha Daladala, Karibu Sanaa Ofisini Kwetu Uchague PIKIPIKI Uipendayo kwani Zipo Nyingi Sanaa na Ujipatie Kilicho bora. Pia Kama Unapikipiki Yako Au Bajaji Unauza (Uwe na Documents zote halali) unaweza Wasiliana nasi Tunanunua Pia.

Darcity M.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam