09.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NIGHT DRIVING GLASESS

TZS 35 000

Condition:

NEW

Description

Asilimia kubwa ya ajali za barabarani hutokea wakati wa usiku .. Hii ni kutokana na uoni hafifu unaosababishwa na miale ya mwanga wa vyombo vingine vya usafiri au matatizo ya mtu kwa na uoni hafifu wakati wa usiku . Tunazo miwani za usiku za HD. (HD Driving glases) Hizi zitakuondolea kabisa adha ya kuendesha usiku au wakati wa mchana . Hii pia unaweza kuvaa juu ya miwani yako ya kawaida . Kwa Tsh 35,000 tu DRIVE WITH SMILE ? Wateja wa dar unalipa baada ya kupokea mzigo wako .

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam