Condition:
NEW
Description
TUNAUZA MANUAL PELLET MACHINE. ▪︎Hii Mashine ya mkono maalumu ya kutengeneza chakula cha punje punje kwa ajili ya samaki/kuku/nguruwe/ sungura. Faida za kumlisha kuku chakula cha punje punje. ●kuku hupata lishe zote zilizochanganywa katika umbo Moja ●Huzua upotevu wa chakula,chakula hakimwagiki hovyo ●Kuku hushiba vizuri kwani anauwezo wa kuokota punje zote . ●Hupunguza gharama za ulishaji ●Kuku wako hukua haraka kwani hupata virutubisho vyote. Bei ya ofa 150,000/=Tsh. 《Ofa hii niyamuda mfupi》 Dar es saalam Tunafanya free delivery popote ulipo.