Description
ILI UJENGE KWA BAJETI NZURI UNAHITAJI MSHAURI / MTAALAMU WA MAMBO YA UJENZI NDIOMAANA TUPO KWA AJILI YAKO TUTAKUSHAURI NA KUKUCHOREA RAMANI YA NYUMBA YAKO KWA BEI NAFUU SANA UTAPATA MAKARIDIO YA MATERIAL YA UJENZI, UTAPATA KIBALI CHA UJENZI NA UTAJENGA BILA STRESS WASILIANA NASI LEO