Description
Tunatoa huduma ya ujenzi wa mashimo ya choo yasio jaa maji mahususi kwa maeneo yenye changamoto ya kujaa maji haswa nyakati za mvua. Mfumo huu wa mashimo utakuwezesha kuepuka gharama za kunyonya maji taka kwa kuwa shimo la choo halitojaa kamwe, hutumia nafasi ndogo ya ujenzi, hakuna harufu mbaya.