Description
Kwa zaidi ya miaka sita sasa tunaendelea kutoa huduma za uchimbaji visima na usambazaji wa maji kwa gharama nafuu zaidi. Tunachimba visima vya maji mikoa yote , Tunachimba kuanzia mita 15 na kuendelea. Pia tunafanya vipimo vya kina cha miamba ya maji kwa maeneo yasio na takwimu kutoka mamlaka za maji. Kwa gharama nafuu tutakuchimbia kisima, tutakuwekea upvc pipe, na kusafisha kisima. Tunafufua kisima kilichokufa, tunabadilisha miundombinu chakavu ya kisima, pia tunafunga mashine ya kupunguza chumvi ya maji ya kisima. Tunasambaza na kufunga pampu za maji zinazotumia umeme jua/ maji, na vifaa vya bomba maji safi na taka, solar heating system, n.k Karibu tukuhudumia.