11.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

SubMeter

Negotiable

Description

Kama umepanga nyumba au chumba ,au wewe ni mwenye nyimba unahitaji kuwafungia wapangaji wako, na unataka kuepuka na kero za kulipa umeme mara kwa mara bila kujua matumizi yako, na gharama inakuwa kubwa, sisi tupo kwa ajiri yako kwa kukufungia hizi SubMeter. Tunafunga SubMeter kwa kusoma matumizi ya units za umeme hasa kwenye vyumba vya wapangaji, ili kuepuka usumbufu wa kununua umeme ambao hujautumia, inakubidi ulipe kulingana na matumizi yako yatakayosoma kwenye mita yako pekeyako. Karibuni SubMeter ni 25,000 Ufundi 10,000 Matilio utanunua ni waya tu. Tunafunga SubMeter kwa matumizi ya nyumba za kupanga na kadhalika, kutatua tatizo la kulipa umeme * Tunatengua na kutoa Short circuit * Tunatengua uvujaji wa umeme ( leakage current) Tunakufata ulipo

KINGS S.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam