14.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

FENSI YA UMEME

Negotiable

Description

ELECTRIC FENCE ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence, pia king'ora kitalia na taa ya strobe kutoa taarifa kuwa kuna jambo la hatari lina endelea . Material yanayotumika ?Aluminium poles ? Aluminum wire ?Energizer machine (fence charger ) ?Tension Spring ?stainer ?warning sign?Earth rod ?HT cable ?siren ?strobe ?Alarm cable ?Insulator ?Kwa wateja wangu wa Dar huwa tunawashauri kufunga Aluminium poles, (nguzo), Aluminium wire au Stannely steel wire kutokana na mazingira ya chunvi, faida zake ni kwamba. ?Hazishiki kutu ?Hazipati layer ya chumvi inayopunguza uwezo wa kupiga shoti ?Zinakaa muda mrefu sana ?Zina muonekano mzuri. Gharama za kufunga fence zinategemea mambo yafuatayo ?Ukubwa wa ukuta -(material yatatumika mengi au machache kulingana na ukubwa wa ukuta ?Shape ya fence -Ukuta wako umenyooka au upo straight, au unakonakona au ngazi ngazi, ukuta ulionyooka materials yatatumika machache hivyo bei itakuwa chini ukilinganisha na ukuta wenye kona kona au ngazi. Karibu ROYAL SECURITY SOLUTIONS Tukufanyie kazi nzuri bora na ya uhakika kwa usalama wako na mali zako.. Usikubali vibaka na wezi wakusumbue .. ishi uliwa na utulivu wa nafsi ukiwa ndani ya fensi ya umeme TUPO DAR ES SALAAM-mbezi beach NA ARUSHA- SAKINA

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam