20.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Viwanja Viwanja vinauzwa mbezi

TZS 20 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

*Kwa mahitaji Ya viwanja na mashamba KARIBUNI kazi hizi bora kabisa full documents _________________________ Kibaha Picha ya ndege 1:qmt 6,500 Mita 300 Bei Milion 75 tu Matumizi yoyote panafaa _________________________ Luguruni 1:qmt 1400 Bei Milion 30 2:qmt 1600 Bei Milion 33 Kibamba hospital qmt 2500 Bei Milion 50 Mita 400 Toka Morogoro road _________________________ Tunaviwanja kibaha Mjini Stand ya mabasi ya mkoani kilomita Moja tu viwanja 175 Viwanja vinauzwa milion 5 tu Unaweza kukopeshwa miezi 3 Viwanja vimepimwa huduma zote zipo maji umeme barabara Safi: Unaweza kupata viwanja 2nakuendelea eneo safi tambalale huduma zote zipo _________________________ Viwanja Mbezi karibu kabisa na stand vinafaa kwa uwekezaji 1:qmt 500 milion 25 2:qmt 800 milion 45 3:qmt 1200 milion 40 kilomita 2 4: Naviwanja vingine vingi Tutakusaidia kupata maeneo Kama nyumba nk _________________________ 1: Viwanja vikubwa Kiluvya Ukubwa qmt 1600 Bei Milion 9 Pikipiki 1000 tu _________________________ Tunaviwanja 20 kibaha kwa Mathias Viwanja hivi ni milion 3.5 Mkopo mwenzi mmoja huduma zote zipo Kilomita 2.5 tu _________________________ 1:Miradi ya viwanja cash Kibamba ukubwa qmt 400 Bei milion 6.5 kilomita 3 tu 2:Eneo kubwa lipo mbezi ukubwa qmt 4000 Bei milion 500 linatazama Morogoro road 3:Miladi ya viwanja kibaha Misugusugu Picha ya ndege Kwa mfipa unapata kiwanja cash kuazia milion 3.5 _________________________ 1:Eneo linauzwa mbele ya kimara qmt 8000 Linafaa Apartment packing kilomita 1 tu Bei Milion 400 _________________________ Viwanja hivi vimepimwa vikubwa vipo kilomita 2 tu toka Morogoro road Luguruni hati ipo 1:qmt 1500 Milion 40 2:qmt 1300 (biashara) Milion 40 3:qmt 1500 Milion 25 4:qmt 1400 kimelasimishwa Milion 22 1:Plot safi mwagwepande qmt 960 Bei Milion 30 2:Bar Inauzwa inakila kitu Inafanya kazi Eneo kubwa qmt 1600 Bei milion 80 Loction mbezi Juu _________________________ 6:Mbezi (Kimara)qmt 4000 Bei Milion 500 _________________________ Kiwanja ch biashara kujenga kituo cha Afya hardware nk kipo Kibaha Loliondo ukubwa 3301 Bei Milion 40 Vibari vipo _________________________ Kilomita 2: kutoka main road

Dalalimwanamke

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam