Details
Description
ENEO: Kigamboni pembeni ya D'Salaam Zoo. UMBALI: 1.5 km kutoka D'Salaam Zoo na 1 km barabara ya Kibada - Mwasonga. MATUMIZI: Viwanda vidogo (Light Industries) UKUBWA: 15000 sqm - 26000 sqm. UHALALI: Vina hati ila gharama za transfer ya umiliki ni juu ya muuzaji.