Details
Description
Viwanja vipo mkundi morogoro manispaa, vipo mita 700 kutoka Barabara kuu Ya lami viwanja vipo sehemu tambarale na umeme upo, vipo sehemu iliyojengeka sana,vimepimwa, ukubwa ni kuanzia sqm 756 yaani 25 kwa 32, bei milion 6 na laki moja,