Details
Description
⚫Viwanja vipo karibu na Airport mpya ya Msalato ⚫Bei yetu ni 4,000 kwa kila square meter moja ⚫Viwanja ni vizuri kwa makazi na biashara ⚫Viwanja hivi tayari vimepimwa na unapata hati ⚫ Kutembelea site ni kila siku ⚫ Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza KARIBU SANA.