Details
Description
MRADI MPYA!! KIGAMBONI KISARAWE II - KIGOGO -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Umbali ni 18km toka Kigamboni Ferry na 600m toka main road(Mwasonga road) -Viwanja vimepimwa na vina beacon kabisa. -Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli. -Huduma zote za kijamii zinapatikana. -Bei ni Tshs 20,000 kwa square meter moja. -Hati utapewa ndani ya mwezi mmoja baada ya kumaliza malipo ya kiwanja. MALIPO Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 5 ukiigawanya kwa kila mwezi. #SITE VISIT ni kila Jumamosi. Ofisi zetu zipo Mabibo Mwisho jirani na Stendi ya Daladala. Contact: KARIBUNI SANA ?