Details
Description
⚫Viwanja vipo 12 km kutoka City Centre ⚫Vipo karibu na soko kuu la Job Ndugai ⚫Vipo karibu na stand kuu ya mabasi ya Nanenane. ⚫Viwanja vimepimwa na vina hati. ⚫Malipo ni cash au awamu. ⚫ Kutembelea site ni kila siku ⚫Tuna miradi ya Viwanja vingine maeneo ya Bunju, Madale, Kisota,Cheka,Mbutu, Vikawe Misugusugu, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Iyumbu, Itega.