Description
Mradi mpya wa viwanja vya makazi eneo la vikawe,km 6 kutoka barabara kuu ya bagamoyo ●magharibi mwa bunju na mabwe- pande ●vipo karibu na barabara ya mapinga-maili moja( inayojengwa kwa lami sasa hivi)mita 200 tu ●vipo eneo zuri ambalo lipo juu na tambarare, na hali ya hewa safi sana ●tsh 9000 kwa mita ya mraba ●umeme na maji upo ●maeneo ya jirani na viwanja yameishaendelezwa kwa kujengwa nyumba za kisasa, vituo vya huduma kijamii,hoteli nk ●malipo unaweza kulipa kwa cash au kwa awamu. [ ] Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya kimoja. Piga simu Kwa Muhusika mkuu. Instgram@ Mr_Plots