Details
Description
VIWANJA VYA MAKAZI MRADI MPYA WA VIWANJA VYA BEI NAFUU �Viwanja vipo Chanika -Majumba sita (karibu na anapoishi makamu wa Rais) �Ukubwa wa kiwanja mita 13 kwa 15(siyo miguu wala futi, ni MITA) �Viwanja vipo karibu na huduma muhimu za kijamii kama umeme, maji, shule, hospital n.k �Bei ni Mil 1 na laki 5 tu na unaweza kulipia kwa awamu. �Pia tunauza kuanzia heka moja kwa Mil 15 tu Karibuni sana! NB; UKILETA MTEJA UNAPATA LAKI 1 CASH �AKINUNUA HEKA MOJA UNAPATA MIL 1