Condition:
NEW
Description
**Pata Vitenge Vizuri Vyenye Ubora Bila Kusumbuka....** Karibu Ado_Vitenge ujipatie vitenge vizuri vyenye maua mazuri visivyo huja wala kufubaa haraka na unaweza kushona mitindo yote ukapendeza na kuvutia zaidi... Bei zetu ni rafiki sana kulingana na ubora wa vitenge vyetu,na vitenge vyetu huvaliwa na rika zoote wakubwa kwa wadogo,jinsia zoote wanawake kwa wanaume... Usisite kuwasiliana nasi kwa kupiga simu ama kutuma ujumbe mfupi wa sms kwani tunafanya biashara kwa uaminifu mkubwa na waweza kutupatia oda yako muda wowote utakaohitaji nasi tutakufikishia hadi mlangoni.... Kwa sasa bado hatujafungua ofisi tunafanya delivery na Malipo ni baada ya kupokea na kuukagua mzigo wako na delivery tunafanya kwa bei nafuu kabisa,Karibuni sana....