12.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Vidonge vya kunenepesha Mwili

TZS 60 000

Description

Haya Haya wale wenzangu wembamba kupitiliza tumewaletea vidonge vizuri vya Apetamin Vidonge Og from Uk hapa Uhakika??? Inafaa kwa wale wembamba wamechoka wanaotaka kunenepa/kuongeza uzito? ◾️kazi kubwa ya hivi vidonge ni kuongeza hamu ya kula(appetite)....yan kama ulkuwa unakula mara 1 kwa cku bas utakula mara 5 kwa siku tena msosi wa kutosha ◾️Vionangeza uzito kg 4-5 kwa wiki kwa watoto na watu wazima ◾️inatumiwa kwa watu wa rika zote,Wanaume na Wanawake ◾️Haina madhara,inatumiwa dk 30 kabla ya chakula No fake zone❌

Mama G store

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam