Details
Description
Good vision tv nchi 32 Smart Pia ni vyoo viwili Ina warranty mwaka 1 Ina njia ya USB Ina njia ya HDMI Free delivery ? in dar es salaam Pia mkoani tunatuma unalipia mzigo wako kwanza ndipo tutume au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu ili ajiridhishe