Condition:
NEW
Description
TUNAUZA CAGE'S ZA KISASA ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI. FAIDA ZA CAGE'S. 1.kuzuia upotevu wa chakula. 2. Unatumia muda mchache kuhudumia kuku wengi. 3. Hupunguza magonjwa ya kuambukizwa. 4. Kujua idadi kamili. 5. Inarahisisha zoezi la ukusanyaji wa mayai. 6. Inarahisisha kusafisha na kukusanya mbolea. BEI KUKU 96 -650000/=TSH KUKU 128- 850,000/=TSH