Description
*TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO* ✍️✍️✍️✍️✍️✍️. ➡️Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu. ➡️Kwa kawaida tatizo hili huleta maumivu makali sana ya tumbo ingawa si lazima kila maumivu ayapatayo mgonjwa husababishwa na vidonda vya tumbo. ⏩Vidonda hivi ni matokeo ya kuharibika na kulika kwa kuta za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. ♦️Kuta ambazo hushambuliwa na vidonda ni ▶️(1)kuta za tumbo ▶️ (2)kuta za sehemu ya chini ya koo la chakula pamoja na kuta za sehemu ya kwanza ya utumbo mwembamba. *SABABU ZA VIDONDA VYA TUMBO* ✍?✍?✍?✍?✍?✍?✍?✍?✍? kuna sababu kuu mbili ambazo hupelekea mtu kupata vidonda vya tumbo, *1.Maambukizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori*, bakteria huyu husambaa kwa njia ya maji na chakula, katika mwili wa binadamu hupenda kuishi tumboni na katika sehemu ya kwanza ya utumbo mwembamba. ikiwa hapo huzalisha vimeng'enya viitwavyo urease ambavyo hupunguza kiwango cha tindikalitumboni. kupungua kwa tindikali tumboni kunasababisha nyongo kuzalisha tindikali nyingi zaidi ya uwezo wa tumbo kuzimudu ambazo hupelekea tumbo kutoboka na kuchubuka. *2.Kumeng'enywa na kulika kwa kuta za mfumo wa chakula-hii husababishwa kwa namna zifuatazo* *Matumizi ya dawa za kutuliza maumivu ya muda mrefu na yasiyozingatia ushauri wa kitaalamu*. Dawa kama Aspirin, paracetamol (panadol), ibuprofen, naproxen, Mifenamate na nyinginezo. matumizi ya dawa hizi huzuia utengenezwaji wa ute wa ulinzi wa kuta za tumbo dhidi ya vimengenya na tindikali hivyo kulifanya tumbo kuwa na ulinzi dhaifu. pia dawa hizi hupunguza kiwango cha damu kinachofika tumboni, jambo hili husababsha tumbo kutotengeneza seli hai za tumbo ambazo ndio msingi wa ulinzi wa tumbo. ▶️Uvutaji wa sigara na Bangi ▶️Ulevi wa Pombe ▶️ Msongo wa mawazo. ▶️ Tiba za miale katika maeneo ya mfumo wa tumbo mfano x-ray. ▶️Kansa ya Tumbo ▶️Kuugua kwa muda mrefu magonjwa mengineyo. *DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO* zifuatazo ni baadhi ya dalili za vodonda vya tumbo ▶️Maumivu makali sehemu ya Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali ▶️Kiungulia ▶️Tumbo kujaa gesi mara kwa mara ▶️Tumbo kuwaka moto ▶️Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi ▶️Maumivu ya tumbo maeneo ya chini ya kitovu ▶️Kinyesi kinakuwa na rangi nyeusi au kijivu. ▶️Kupungua uzito. ▶️Kichefuchefu na kutapika. ▶️Kupoteza hamu ya kula. *HATUA KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO* ni vizuri kufahamu kwamba huu ugonjwa una hatua nne ambazo ni muhimu *(1)HATUA YA KWANZA* ~hatua ya kwanza ya huu ugonjwa ni ule uvimbe sugu unaotokea sehem ya ndan ya tumbo, *(2)HATUA YA PILI*~hapa vijidonda hujitokeza sehemu zenye uvimbe na taratibu vidonda hvyo huongezeka na kua vikubwa katika hatua hii mgonjwa hupatwa na maumivu makali ya tumbo yanayodumu kwa muda mrefu yakiambatana na kiungulia, tumbo kujaa gesi wakati wote, kukosa hamu ya kula, choo kuwa kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu, hata hvyo Hali hii ya kukosa choo kwa muda mrefu *(CHRONIC DYSPEPSIA)* yani kushindwa kufanya Kazi kwa mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula kutokana na tindikali nyingi inayozalishwa tumboni huingia Kwenye mzunguko wa dam hivyo mgonjwa hujisikia uchovu na kizunguzungu cha Mara kwa Mara katika hatua hii tindikali husababisha magonjwa ya ini na Figo kwa kuwa tayar iko katika mfumo mzima wa damu *(3)HATUA YA TATU* ~hii ni hatua ambayo ni ya hatari kwasababu vidonda vikubwa hupasua mishipa yote midogomidogo ya damu na kusababisha damu kuvia tumbon na kubadilisha rangi ya choo kuwa cyo ya kawaida, pia damu nyingi ikivujia tumboni mgonjwa hutapika na kuharisha damu Hali hii husababisha mgonjwa kuishiwa damu Mara kwa Mara, maumivu makali ya tumbo,hupata Homa, maumivu ya viungo na kukosa hamu ya kula. *(4)HATUA YA NNE* ~katika hatua saratani ya utumbo inahusika kwani katika hatua hii vidonda vya tumbo hutengeneza tundu katika tumbo au utumbo mdogo na kusababisha kuoza kwa viungo vya ndani na matokeo yake ni saratani ya utumbo ➡️Kama vidonda vya tumbo havitatibiwa kwa wakati huweza kusababisha madhara makubwa ambayo tiba yake itahitaji uangalizi mkubwa na unaweza kuwa na gharama kubwa sana. kama utaona dalili hizi basi ni vyema kumuona daktari kwa maana dalili hizi huashiria tatizo limekuwa kubwa zaidi, sababu hizo ni; ⏺️ Kizunguzungu ⏺️maumivu makali ya kichwa ⏺️kinyesi cheusi ambacho kinaweza ambatana na damu. *JInsi gani unaweza kujikinga dhidi ya vidonda vya tumbo* hizi ni baadhi ya njia Badili baadhi ya mifumo yako ya maisha kama, ⏩Acha punguza kutumia pombe bila kiasi. ⏩Usichanganye pombe na aina yeyote ya dawa. ⏩Weka mazingira yako safi kuepuka maambukizi ya bacteria. ⏩Usitumie hovyo dawa za kupunguza maumivu bila ushauri wa kitaalamu. ⏩Pata chakula kwa wakati, epuka kukaa na njaa kwa muda mrefu. ⏩Kuwa na ratiba nzuri na inayoeleweka ya chakula, epuka kubadili ratiba ya chakula bila sababu za msingi. *ZINGATIA,* Kuna wakati unapojaribu kutibu vidonda vya tumbo inashindikana, huwa inatokea na hii husababishwa na sababu kuu zifuatazo, yawezekana una maambukizi ya bakteria zaidi ya mmoja. Yawezekana una ugonjwa mwingine katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kama vile kansa. Hivyo basi kama una tatizo la vidonda vya tumbo ni vyema utumie virutubisho vyetu mbavyo vinakwenda kutibu aina zote za vidonda na kuweza kumaliza kabisa tatizo lako na hivyo utaweza kurudi katika hali yako ya mwanzo. _kama unasumbuliwa na tatizo hili nipigie tuzungumze nitakupatia ushauri na tiba ili uweze kuondokana na tatizo lako