CategoriesJobsHealthcare
image

19.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

SULUHISHO LA MIFUPA NA MAUNGIO

Negotiable

Description

TIBA YA MAUMIVU YA MGONGO ,KIUNO MIFUPA, MIGUU ,NYONGA NA MAUNGIO ,MENGINEYO BILA MADHARA WALA UPASUAJI Bila shaka umesha msikia ndugu yako,wewe mwenyeme , rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuugua tatizo la GAUTI, kuuma kwa MAUNGIO kama MAGOTI ( knee joint) , NYONGA ,BEGA , (shoulder joint ) KIUNO na MGONGO . wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya kisigino ( Ankle joint) Watu wengi wana sumbuliwa na matatizo ya viungo (MAUNGIO) Ambapo wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6% Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao snynovial fluid ambao kazi yake ni kulainisha joints, pia kuna kitu kama sponji kiitwacho cartilage ( gegedu) ambayo kazi yake ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salama salimini TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS (OA) hutokea pale ambapo gegedu kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu CHANZO CHA TATIZO .kula sana vyakula vyenye uric acid kama nyama nyekundu .umri mkubwa .uzito mkubwa .kuumia kwa kupata ajali .kurithi( genesis) . wafanya mazoezi / wana michezo MATIBABU KUNAVIRUTUBISHO Ni vya asili vimetengenezwa kwa kutumia madini,mimea,matunda na mboga mboga Huongeza ute ute kwenye maungio na kuziponya cartilage au sponji zinazozuia mifupa kusagana na huondoa maumivu maungio kabisa Huongeza GLUCOSAMINE ambayo huunda upya cartilage ( sponji zinazounda mifupa isisagane Huongeza GLUCOSAMINE ambayo huunda upya cartilage Huongeza chrondroitin ambayo hutumika kutengeneza ute ute kat ya maungio Huondoa kabisa maumivu ya maungio yaliyokithiri.

Samweli S. K. I.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location