image

30.07.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Stainless steel tanks 304 materials

TZS 780 000

Description

Matenki magumu kabisa ya stainless steel ambayo hayapati kutu wala ukungu na yanatengenezwa pamoja na stand zake........! Yanafaa kuhifadhia maziwa,mafuta,juice,pombe, chemikali,pamoja na nafaka. Yanahifadhi kila aina ya vimiminika na nafaka kwa muda mrefu bila kuharibika. Utatengenezewa muundo upendao mfano la duara, sanduku, la kusimama n.K tunafanya delivery mpaka nyumbani kwa mteja hata kwa pc moja. Tupo mbezi beach africana dar es salaam. Bagamoyo road.

Queen H.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location