Details
Description
Fremu za kisasa zinapangishwa katika jengo jipya la Makumbusho Plaza. Jengo lipo jirani kabisa na Stendi ya mabasi ya Makumbusho. Fremu zina ukubwa wakutosha kwa biashara yoyote. Fremu zimebaki chache. Wasiliana nasi kuwahi nafasi.