Details
Description
Nauza shamba lenyeakadilio ya eka 300 nazaidi linauzwa lote halikatwi hili lipo maeneo ya mkata barabara kuu yakuelekea kwamsisi wilaya ya handeni tanga nishamba zuli kwa kilimo cha mkonge kila eka inauzwa laki 150000 maongezi yapo ufikapo shamba kilometa 25 kutoka mkata