15.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

SAMAKI MBASA NA MBELELE

TZS 20 000

Description

Tunauza samaki mbasa na mbelele kutoka Ziwa Nyasa, ni samaki watamu na wazuri mno kwa wanao wajua wanajua, tunaanza kupima kwa kilo. Karibuni sana bei zetu ni nafuu na tunafanya delivery kwa waliopo dar kwa gharama nafuu sana

Chris

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam