Details
Description
Boheta packaging Ltd inayofuraha kutangaza nafasi za kazi za sales agents. Wanahitajika mawakala wa mauzo wanaojua kuendesha pikipiki Aidha kwa wale walioko mikoani wanaweza kuomba uwakala na tukafungua matawi huko huko tukawa tunakuagizia bidhaa na ikawa unauza