16.04.2021Tanzania, Dar Es Salaam

REVERSE OSMOSIS WATER MACHINE

TZS 4 500 000

Condition:

NEW

Description

Machine yenye filter na R.O, zinazochuja na kuondoa chumvi,magadi kwenye maji huyafanya maji kuwa masafi na bora kwa kunywa. Kama maji yana harufu mbaya,mchanga,matope,rangi,kutu vyote huchuja,na kuyafanya maji yasiwe na harufu,ladha chumvi wala rangi ..... Karibuni mbezi beach africana dar es salaam au tupigie cm kwa maelezo,elimu,ushaur, bei,na maswali kupitia mamba zetu.

Stainless S. T. T.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam