Description
Tunauza pump za maji aina zote kwa matumizi mbalimbali, kwa kilimo, viwandani, majumbani, kupandisha maji maghorofani, migodini, mitaro ya maji taka, n.k Kwa mahitaji yako ya pump za kutumbukiza na kuweka juu ardhini na za masafa marefu usisite kutuona. Popote ulipo pump yako itakufikia, Tunahudumia hadi nchi jirani.