09.12.2020Tanzania, Pwani

PLOT#ZINAUZWA#MLANDIZI#KIBWENDE NA DISUNYARA#

TZS 6 500

Details

Price per square unit
yes

Description

SWAHILI #PLOT #ZINAUZWA #MLANDIZI #PWANI #KIBWENDE ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Viwanja viko: KIBWENDE MLANDIZI --- Viwanja viko km 5 toka Morogoro road na ni karibu na barabara ya bagamoyo. --- Viwanja viko katoka ukubwa tofauti tofauti kuanzia mita za mraba 880 - 1,500. --- Viwanja vimepimwa tayari. --- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k. --- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na plot. --- Eneo lililozunguka plot tayari limeendelezwa. --- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde. --- Bei: Tsh. 6,500 kwa mita moja ya mraba --- Utatanguliza 30% ya ya bei ya kiwanja, inayobaki utalipa taratibu kwa mwaka mmoja. --- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ ENGLISH #PLOT #FOR #SALE #AT #KIBWENDE #MLANDIZI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Plots are located at KIBWENDE MLANDIZI. --- Plots located 5km from Morogoro road. --- Plots are found in different areas/sizes from 880sqms to 1,500sqm --- Plots are surveyed already. --- The plot is suitable for construction of habitats, Housing Estates --- Social services are found around the plots --- The areas around the plot are already developed --- Plots are plain, no hills --- Price: . 6,500 Tsh per sqm --- You make 30% advanced payment, the remaining should be paid within a year period. --- Title deed found after finishing the total payment.

Samson Mushi

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Pwani