Details
Description
Bagamoyo mkoa wa pwani kiwanjakinauzwa kipo bagamoyo mapinga kushoto Kama unaelekea bagamoyo mjini kiwanja kipo miter 600 tu toka barabara kuu ya lami kinaukubwa wa sqm 2340 kiwanja kimezungushiwa fensi Pia kuna maji ya Dawasco hati ipo clean title deed Bei tsh Milion 65