Condition:
NEW
Description
kama wewe unatumia bajet nyingi ya gesi , umeme , mkaa basi hapa ndio suluhisho lako waweza pika chakula zaidi ya 10 kwa jiko moja .. sifa yake -inatumia umeme kidogo -inapika kwa haraka zaidi -ni rahisi kutumia -warrant mwaka mzima Bei : 165,000 free delivery in Dar