16.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Description
inakaa kwenye nguo kwa muda mrefu. na inanukia vizuri mno. inakupa ujasiri popote ulipo ukipita lazima watu wajiulize ni perfume gani inanukia vizuri hivi. no allergic