Details
Description
NYUMBA ZA KUPANGA/KUNUNUA- KIGAMBONI. Tunazo nyumba nyingi kwa nahitaji ya kupanga au kununua maeneo yote ya KIGAMBONI na JIJI LOTE kea ujumla. Tafadhali chagua Kati ya zilizopo au tupe maelezo ya hitaji lako maalum ili tukuhudumie kwa wakati. Pia maeneo ya Viwanja, Mashamba na Ofisi tunatoa huduma pia. __________________ ANGALIZO: Kwa Mali za kukodi, Malipo ya Dalali ni Kodi ya mwezi 1/Kuonyeshwa Ni Tshs.20,000. Kwa Mali za kununua, Malipo ya Dalali ni 10% Uonyeshwaji ni Tshs.50,000/Kwa Mali za kawaida. (Unalipa MPANGAJI au MNUNUAJI) MUNGU anasema; Unapomtumikisha mtu, Yafaa umlipe malipo yake stahiki kabla ya Jasho halijamkauka. Natutende Haki basi. __________________