06.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA ZA BIASHARA ZINAUZWA MAGOMENI NA KARIOKOO.

TZS 160 000 000

Description

Nyumba inauzwa nhc imefanyiwa marekebisho ina Apatiment 3 Mbili za ubavuni, mmoja unaingilia katikati. Ya ubavuni anachukua kodi 400,000@ kwa mwezi pande zipo 2 kwa 800,000 wa katikati ambao uko uwani 300,000 kwa mwezi nyumba nzima anachukua kodi million 1.1 kwa mwezi. Nyumba ipo magomeni makuti mtaa mkubwa wenye lami wa fundikira jirani na msikiti mkubwa wa gorofa. Document title deed SQM 320 Mmiliki mmoja. Bei ya kuuza milioni 160 njoo maongezi yapo,pia tunazo nyumba za biashara zinazo uzwa zingine Zina mafremu ya biashara,zingine zipo kariakoo penye mizunguko mkubwa wa biashara na viwanja bado vipo vya kujenga majengo ya biashara km Apertment au Hotel kwa maelezo zaidi nipigie simu.

Chriss Real Estate Agency

Member since 2015.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam