Description
Nyumba ya biashara inauzwa kinondoni studio ina fremu 11 kila fremu inapangishwa laki3 kwa mwezi iko mitaa mizuri ya biashara Nyumba bado mpya ndio imemalizika pia hati ipo,parking kubwa yakutosha bei 350 ml maongezi,Kama unahitaji nyumba za biashara zenye mafremu zinazo uzwa zipo viwanja zipo vya kujenga sehemu za biashara vipo maeno yote apa Dar na maeneo ya Kariakoo sehemu zilizo changamka kwa ajili ya kufanya biashara tupigie bado zipo kibao.