30.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 7 Inauzwa Dar es salaam

TZS 65 000 000

Description

Nyumba ipo kitonga,kata ya msongola wilaya ya ilala jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba 7, sitting room, dining room na jiko.pia kuna flame ya biashara. Bei yake shilingi milioni 65 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu

Sele B.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam