21.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 4 ipo yombo kilakala

TZS 120 000 000

Description

Nyumba inauzwa ipo yombo kilakala nyumba ya vyumba 4 vya kulala daingiroom stingiroom stoo kicheni nyumba umeme upo maji yapo nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 400 nyumba bei ml 120 Hati yake ya mauziano ya selikali ya mtaa

Dalali K.

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam