Details
Description
NYUMBA YA PEKEYAKE, VYUMBA VITATU (3) TSHS.500,000/MWEZI-KIMARA TEMBONI. Mwendo wa dakika 15 kutoka Barabara ya Morogoro. Itakuwa wazi tarehe 31/12 _________________ ANGALIZO: Malipo ya dalali ni Kodi ya mwezi 1. Uonyeshwaji ni Tshs.20,000. (Unalipa MPANGAJI, Ikiwa unajijua huwezi kumlipa dalali tafadhali usiwasiliane nami) _________________ Chumba kimoja ni masta. Pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna servants quarter ya chumba kimoja.