20.07.2021Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA YA KUNUNUA UPANGA, DAR ES SALAAM.

TZS 1 507 520 000

Description

Mjengo wa kununua unauzwa Upanga. Mjengo una apartments 11 zinavyojitoshereza (1 bedrooms apartments 6 na studios apartments 5). Mjengo upo kibiashara ambapo kila apartment inaingiza wastani wa tzs 850,000 kwa mwezi kwa moja kwa zote 9,350,000 kwa mwaka 122,200,000. Bila shaka huu ni uwekezaji wenye tija, hautajuta kuwekeza pesa zako. Pia, upo uwezekano wa kuongeza ghorofa moja au mbili kwa juu na kupata apartments nyingine zaidi. Mjengo upo katika kiwanja chenye ukubwa wa robo heka. Pia unaweza kubomoa mjengo uliopo na kujenga jengo jipya la kisasa Kwa habari Zaidi kuhusu kuhusu bei au kununua mjengo huu wasiliana nasi kwa simu/whatsapp.

Kitomai Kayinga

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam